Zezeta - Rayvanny

Zezeta - Rayvanny

Год
2017
Язык
`suahili`
Длительность
185100

Poniżej tekst piosenki Zezeta , wykonawca - Rayvanny z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Zezeta ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Zezeta

Rayvanny

Baby mooh

Nifanye big G unitafune

Ama niwe sindano

Nawe uwe uzi nguo nifume

Amaniwe ndoo

Uwe maji yangu na wanune

Nifanye kucha

Kama ukiwashwa mi nikukune

Sema mama

Niweduka la vipodozi

Nikuvutie kwa kila kitu

Chumbani uwe simu

Unalia hata nikiku beep

Nisimame kama kinyozi

Nikikunyoa unanisifu

Niwe godoro na shuka

Nilale na wewe kila usiku

Shika funguo gari ya bosi wangu

Kwako zezeta zezeta

Niko radhi nifunge ule wewe

Mimi zezeta zezeta

Au unataka hata nyumba ya baba yangu

Kwako zezeta zezeta

Kifaranga nibebe kama mwewe

Mimi zezeta zezeta

Mama sitaki paka na panya

Vita za nini

Mi nataka niwe mafuta

Ujipakaze kote mwilini eeh

Ama niwe taulo kanga laini

Ukioga ninakufata

Kutoka juu mpaka kwa chini

Maashallah

Ulivyo mwenzako taabani

Naeshimu chumba

Siendi varandani

Tena sikufanyi vocha

Soko dukani

Nikutumbie mchumba

Nikutupe jalalani

Sema mama

Niwe duka la vipodozi

Nikuvutie kwa kila kitu

Chumbani uwe simu

Unalia hata niku-beep

Nisimame kama kinyozi

Nikikunyoa unanisifu

Niwe godoro na shuka

Nilale nawe kila usiku

Shika funguo gari ya bosi wangu

Kwako zezeta zezeta

Niko radhi nifunge ule wewe

Mimi zezeta zezeta

Au unataka hata nyumba ya baba yangu

Kwako zezeta zezeta

Kifaranga nibebe kama mwewe

Mimi zezeta zezeta

Shika funguo gari ya bosi wangu

Kwako zezeta zezeta

Niko radhi nifunge ule wewe

Mimi zezeta zezeta

Au unataka hata nyumba ya baba yangu

Kwako zezeta zezeta

Kifaranga nibebe kama mwewe

Mimi zezeta zezeta

Mashilawadu wanyapia nyapia

Mashilawadu wananyatia nyatia

Mashilawadu wapate kutangazia

Mashilawadu kuwa makini mama

Mashilawadu wakudandia dandia

Mashilawadu vya watu kupakazia

Mashilawadu macho funika pazia

Mashilawadu kuws makini mama eeh

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund