Unaibiwa - Rayvanny

Unaibiwa - Rayvanny

Год
2017
Язык
`suahili`
Длительность
218380

Poniżej tekst piosenki Unaibiwa , wykonawca - Rayvanny z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Unaibiwa ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Unaibiwa

Rayvanny

Usidate na njonjo za mapenzi

Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend

Maufundi toka tanga na zenji

Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji

Anakuchanganya kiunoni shanga

Marashi kama uko peponi

Mtoto sauti kinanda

Ya kumtoa chatu pangoni

Ukishatafuna karanga

Hutaki hata aende sokoni

Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni

Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi

Baby me I like that

Nakukupamba kwenye simu video snapchat

Kumbe hana maana hadi mangi

Anamwita sweetheart

Kisa anakesha gym kutafuta six packs

Unaibiwa!

unaibiwa!

Unaibiwa!

unaibiwa!

Kuna kina rose visosa

Wale wapenda verossa

Ukipita na shati na moka

Lazima watashoboka

Wakiomba lift ogopa

Miguu dashboard vishoka

Mchunguze cheni goroka

Nywele na pochi kakopa

Eh

Usije kuyavamia yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia

Kuna wenzako wanalia walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia

Hata ukimuonga ferrari hatokuona rijali

Wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali

Atakamatwa na mangangali

Vijana machachali

Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali

Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi

Baby me I like that

Nakukupamba kwenye simu video snapchat

Kumbe hana maana hadi mangi

Anamwita sweartheart

Kisa anakesha gym kutafuta six packs

Unaibiwa!

unaibiwa!

Unaibiwa!

unaibiwa!

Unadhani niwapekeako

Kumbe wengine wameshaweka kambi

Kakupendea macho

Wapo wengine kawapendea rangi

Ye ni gari la dampo

Hachagui taka dereva mpe ganji

Wakubadili sample

Akila mihogo karoti hazipandi

Unaibiwa unaibiwa

Unaibiwa unaibiwa

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund