Never Give Up - Harmonize, The World

Never Give Up - Harmonize, The World

Год
2020
Язык
`suahili`
Длительность
196890

Poniżej tekst piosenki Never Give Up , wykonawca - Harmonize, The World z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Never Give Up ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Never Give Up

Harmonize, The World

Oooh nooh

Lord have mercy

Yeh yeh eeeeh

KONDE BOY

Let me tell u ma story

Nimezaliwa mtwara Tanzania

Huko kijijini chitoholi

Hapa mujini nimezamia

Ndoto zilikuwa kucheza boli

Mara ghafla kwa mziki zikahamia

My dady im sorry swala tano Hukupenda uliposikia

Kama utani Si nikaanza kuimba

Mungu si athuman nikakutana na simba

Akanipiga kampani japo kuna walionipinga kwamba sina kipaji

Fitina za ndani ndani mara harmo anavimba

Atapendwa na nani mmakonde wa tandahimba

Nikajipa imani ipo siku nitashinda

Mana mola ndo mpaji

Eeeeeh

Now I make my paper (My paper)

And I bless my family

Pole walionicheka (nicheka)

Enzi navaaga kandambili

Soooo

Never never never

Never never never give up

Never never never

Usikate tamaa maana mungu anakuona

Never never never

Never never never give up

Never never never

Usikate tamaa angaika kila kona

I remember, mama told me «ma boy

Binadamu hawana wema

Watakuchekeaga usoni

Ukiwapa kisogo wanakusema

Usihifadhi chuki moyoni

Yalipe mabaya kwa mema

Jifanye Hukumbuki huyaoni

Ndo maandiko yanavyosema»

Nilimtanguliza Mungu kwa swala

Mara ghafla akaja mzungu Sarah

Aah

Thank u my baby

You love me, you support me, I love u too

Shoutout to my nigga jose wa mipango

Jabulant chopa I got love for you

Mnyama mkali buda na mchachambo

Mwambie tunapita so mikono juu

Najua maisha safari mi bado cjafikaga long way to go

Ila naiona afadhali kulala uhakika na kula Sio kama before

Debe kwa azizi ally, mbagala, tandika, kimara na kariakoo

Geto na kibatari, kiangazi, masikaaa, jua, Mvua vyote vyakooo

Now I make my paper (My paper)

And I bless my family

Pole walionicheka (nicheka)

Enzi navaaga kandambili

Sooo

Never never never

Never never never give up

Never never never

Usikate tamaa maana mungu anakuona

Never never never

Never never never give up

Never never never

Usikate tamaa hangaika kila kona

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund