Matatizo - Harmonize

Matatizo - Harmonize

Год
2016
Язык
`suahili`
Длительность
240110

Poniżej tekst piosenki Matatizo , wykonawca - Harmonize z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Matatizo ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Matatizo

Harmonize

Haiyee Aaah!

Wasafi records

Olelelelee

Alfajiri imefika

Anga inang’aa

Mvua inaanza katika

Ghafla tumbo la njaa

Naweka sauti kwa spika

Nipate umbea wa Dar

Mara simu inaita

Jina la Uncle Twaha

Akisema, mama yu hoi kitandani

Kama si wa leo wa kesho

Na kupona sizani

Upate japo neno la mwisho

Mi ndo mtoto wa pekee

Nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike

Hali duni alishaga olewa

Tizama jasho langu la mnyonge

Kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo konde

Yarabi mola ndo mpaji

Matatizo Matatizo

Yatakwisha lini

Matatizo

Kila siku mimi

Ewe mola

Matatizo yatakwisha lini

Japo likizo

Nifurahi na mimi

Mola aliniumba na subira

Imani pekee ngao yangu

Mbona nishasali sana

Ila mambo bado tafalani

Mama kanifunza kikabila

Nikonde sana haini yangu

Tena nijitume sana

Na vya watu nisivitamani

Hata mpenzi niliyenae

Najua siku atanikimbia

Itanitesa ye ndo nguzo

Zile ngoja kesho badae

Atazichoka kuzivumilia

Anakosa hata matunzo

Ona, nadaiwa kodi nilipopanga

Nashinda road nikihanda

Nishapiga hodi kwa waganga

Kwa kuhisi narogwa

Nikauza maji na karanga

Nikawa dobi kwa viwanda

Ila kote ziro ni majanga

Mtindo mmoja

Mi ndo mtoto wa pekee

Nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike

Hali duni alishagaolewa

Tizama jasho langu la mnyonge

Kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo konde

Yarabi mola ndo mpaji

Matatizo.

matatizo

Yatakwisha lini

Ewe Mola

Matatizo

Kila siku mimi

Jamani Matatizo

Matatizo Ooh matatizo

Yatakwisha lini

Japo likizo

Nifurahi na mimi

Matatizo.

matatizo

Yatakwisha lini

Matatizo

Kila siku mimi

Jamani Matatizo

Matatizo matatizo

Yatakwisha lini

Japo likizo

Nifurahi na mimi

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund