Valu Valu - Jose Chameleone

Valu Valu - Jose Chameleone

Альбом
Chameleone Greatest Hits Champion
Год
2018
Язык
`suahili`
Длительность
241520

Poniżej tekst piosenki Valu Valu , wykonawca - Jose Chameleone z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Valu Valu ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Valu Valu

Jose Chameleone

It’s been a looong… long, long, long time…

(Paddy producer, audio one, come in!)

Bila valu valu baby

Naomba mi na wewe tuwe

Achana valu valu darling… naleli na lelio!

Siina valu valu baby

Nataka mi na wewe tuwe

Achana valu valu darling… je t’aime, je t’aime je t’aime…

Kutoka tulipo kutana

Sija wai kufikiria tuta’achana

Lakini, tulivopendana hueleweki unaniumiza sana…

Upendo gani na sikuoni baby?

Upendo gani hupatikani honey?

Upendo gani huniamini baby?

Valu, valu, valu…

Upendo gani na sikuoni baby?

Upendo gani hupatikani honey?

Upendo gani huniamini baby?

Valu, valu, valu, valu, valu!

Uliemyafuta ulisha pata

Anaekupenda sana kweli usiwai kata

Mimi na we, twende wote kwote unataka

Tukae, tule, tunywe ujue mi nilisha data

Wasikudanganye eti sina uwezo

Ninao, na sio mchezo

Mbona kunipa mawazo

Hamua, hamua, hamua baby

Wasikudanganye eti sina uwezo

Ninao, na sio mchezo

Mbona kunipa mawazo

Hamua, hamua, hamua… valu, valu, valu!

Moyo wako ufungue

Upendo wa ukweli uje uingie

Nacho omba kama niko na wewe

Utaratibu pekee baby tuendele

Mimi na we, tuwe wote mileli

Mimi na we, mileli na mileli you ma baby

Mimi na we, nijali nami nitakujali

Mimi na we…

Mimi na we, tuwe wote mileli

Mimi na we, mileli na mileli you ma baby

Mimi na we, nijali nami nitakujali…

Mimi na we oh, na wewe…

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund