Love Song - BEAUTIFUL WORLD

Love Song - BEAUTIFUL WORLD

Год
1993
Язык
`angielski`
Длительность
367610

Poniżej tekst piosenki Love Song , wykonawca - BEAUTIFUL WORLD z tłumaczeniem

Tekst piosenki „ Love Song ”

Oryginalny tekst z tłumaczeniem

Love Song

BEAUTIFUL WORLD

Usiku wa leo uwe wangu

Laza kichwa kwenye mto wangu

Cheza usiku wa mbalamwezi

Pomzika

Mambo yote sawa

Mambo yote sawa

Nipende usiku wa leo

Nikumbatie usiniache oooh

Ficha vidole nyweleni mwangu

Hakuna matata

Mambo yote shwari

Mambo yote shwari

Ya kesho usijali

Hakuna ajuaye yajayo

Tuishi kwa siku hii

Hisia za milele

Hakuna Matata

Mambo yote shwari

Mambo yote shwari

Stay with me tonight

Lay your head upon my pillow

Dance under the moonlight

All cares drift away everything’s alright

Love me tonight

Hold me close, don’t let me go

Run your fingers through my hair

All worries drift away

Everything will always be alright

Don’t think about tomorrow

Who knows what I can bring

Let’s live for the moment

Touching eternity

All worries drift away

Every thing is always alright

Ponad 2 miliony tekstów piosenek

Piosenki w różnych językach

Tłumaczenia

Wysokiej jakości tłumaczenia na wszystkie języki

Szybkie wyszukiwanie

Znajdź potrzebne teksty w kilka sekund